October 22, 2014

TAASISI YA WANAWAKE NA MAENDELEO (WAMA) YAKABIDHI MAJENGO YA MADARASA SHULE YA SEKONDARI NYAMISATI MKOA WA PWANI WILAYA YA RUFIJI

 Kibao cha Shule.
 Sehemu ya majengo yaliyokabidhiwa kwa Naibu Waziri Tamisemi,Kassim Majaliwa na Makamu Mwenyekiti WAMA Zakia Meghji (hawapo pichani)
 Naibu Waziri Tamisemi,Kassim Majaliwa na Makamu Mwenyekiti WAMA Zakia Meghji (katikati) na Mkuu wa shule Anthony Lindi.
 Makamu Mwenyekiti WAMA Zakia Meghji akikata utepe kabla ya kumkabidhi majengo ya madarasa Naibu Waziri TAMISEMI, Kassim Majaliwa (wa pili kushoto) Mkuu wa wilaya ya Rufiji Nurdin Babu (wa pili kulia) na Kiongozi wa WAMA (kulia)
 Viongozi wakitembelea moja ya sehemu za shule.
 Sehemu ya mbele eneo la Shule.
 Makamu Mwenyekiti WAMA Zakia Meghji akizungumza.
 Wahitimu 10 wa kidato cha nne 2014 katika Shule hiyo akiwepo Msichana mmoja tu.
Naibu Waziri TAMISEMI Kassim Majaliwa (katikati) na Viongozi wa WAMA wakiangalia Maabara ya Shule hiyo.

No comments:

Post a Comment

Pages