October 10, 2014

UFUNGUZI WA MAADHIMISHO SIKU YA POSTA DUNIANI

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Mkoma, akizungumza katika mkutano huo.
 Meneja Mawasiliano wa TCRA, Innocent Mungy, 
akizungumza kwenye hafla hiyo.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano,  Sayansi na Teknolojia, Profesa Patrick Makungu (kushoto), akimkabidhi zawadi Mwalimu  Lucy Mshomi wa Shule ya Wasichana ya Kifungiro kutokana na mchango mkubwa kwa wanafunzi wao. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Posta, Deus Mndeme.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano,  Sayansi na Teknolojia, Profesa Patrick Makungu (kushoto), akimkabidhi zawadi Mwalimu Josephine Mashare wa Shule ya Wasichana ya ST' Marys ya Mazinde Juu kutokana na mchango mkubwa kwa wanafunzi wao.Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Posta, Deus Mndeme.
  Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano,  Sayansi na Teknolojia, Profesa Patrick Makungu (kushoto), akimkabidhi zawadi mwanafunzi mshindi wa kwanza kitaifa wa kuandika barua, Glory Mduma kutoka Shule ya Sekondari ya ST, Marys Mazinde Juu mkoani Tanga. Kulia  ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Posta, Deus Mndeme.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano,  Sayansi na Teknolojia, Profesa Patrick Makungu (kushoto), akimkabidhi zawadi Mshindi wa tatu wa shindano hilo, Khadija Rashid wa Shule ya Sekondari ya  ST, Marys Mazinde Juu. Kulia  ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Posta, Deus Mndeme.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano,  Sayansi na Teknolojia, Profesa Patrick Makungu (kushoto), akimkabidhi zawadi mwanafunzi mshindi wa pili kitaifa wa kuandika barua , Ndehovye Nyindo  wa Shule ya Wasichana ya Lufungiro iliyopo mkoani humo. 
 Washindi wa shindano la kuandika barua wakiwa katika picha ya pamoja na zawadi zao walizokabidhiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano,  Sayansi na Teknolojia, Profesa Patrick Makungu kwa niaba ya Waziri wa wizara hiyo, Profesa Makame Mbarawa katika hafla ya ufunguzi wa maadhimisho ya  siku ya Posta Duniani 2014 yaliyofanyika Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni mshindi wa kwanza kitaifa wa shindano hilo, Glory Mduma kutoka Shule ya Sekondari ya ST, Marys Mazinde Juu mkoani Tanga, Mshindi wa pili, Ndehovye Nyindo  wa Shule ya Lufingiro mkoani humo, na Mshindi wa tatu, Khadija Rashid wa Shule ya Sekondari ya  ST, Marys Mazinde Juu.
  Wanafunzi, Wazazi na wageni waalikwa wakiwa 
kwenye hafla hiyo.



No comments:

Post a Comment

Pages