Habari
kutoka hospitalini hapo zinasema Rais Kikwete anaendelea vyema na leo
asubuhi alianza mazoezi ya kutembea, kuashiria kwamba mambo yote ni
mswano. Tutaendelea kwuashirikisha taarifa ya maendeleo yake mara kwa
mara. Tuzidi kumuombea apate nafuu haraka ili arejee nyumbani kulijenga Taifa.
No comments:
Post a Comment