Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia), akiwakabidhi Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Deo Filikunjombe ripoti ya Uchunguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za Serikali kuhusu kashfa ya kuchota fedha zaidi ya sh. bilioni
200 katika akaunti ya Tegeta Escrow zilizohifadhiwa katika Benki Kuu ya
Tanzania (BOT).
No comments:
Post a Comment