November 06, 2014

PINDA AKAGUA MAGHLA YA CHAKULA DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Bw. Witold Karczewski (kulia) ambaye ni mmiliki wa kampuni ya Mlynpol ya Poland ambayo ina nia ya kujenga maghala ya kisasa ya kuhifadhi nafaka katika kanda hapa nchini wakati alipokagua maghala ya SGR mjini Dodoma Novemba 6, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana  na Bw. Witold Karczewski (kulia) ambaye ni mmiliki wa kampuni ya Mlynpol ya Poland ambayo ina nia ya kujenga maghala ya kisasa ya kuhifadhi nafaka katika kanda hapa nchini wakati alipokagua maghala ya SGR mjini Dodoma Novemba 6, 2014. 

No comments:

Post a Comment

Pages