Nusu ya fainali ya kwanza ya mashindano ya DR. MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP imepigwa kwenye Uwanja wa Bandari maeneo ya Tandika Mwembe Yanga kati ya Tabata FC na Black Six, mchezo ulimalizika kwa Tabata kushinda bao 1-0 na kukata tiketi ya kucheza fainali hapo tarehe 29/11/2014 kwenye uwanja huo huo wa Bandari. mchezo huo uliweka rekodi ya mashindano ya NDONDO kwa kuhudhuliwa na mashabiki wengi.
Mashabiki wa BLACK SIX ya Buguruni..........
SSSS
Mshambuliaji wa YANGA Jerry Tegete alikuwa anaongoza mashambulizi ya timu yake ya nyumbani TABATA FC.......
SSSSMkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group Bwana Ruge Mutahaba,Fauzia Abdi pamoja Ibrahim Masoud 'Maestro' walikuwepo kushuhudia mpambano huo.....
SSS
Kutoka kushoto ni Mratibu wa mashindano Shaffih Dauda, Mdhamini wa mashindano Dk. Juma Mwaka, Ruge Mutahaba na Ibrahim Masoud 'Maestro'
SSSSMpambano kati ya Tabata FC na Black Six ukiendelea kwenye uwanja wa BANDARI maeneo ya Tandika Mwembe YANGA ukiendelea......


No comments:
Post a Comment