Ndege ya
Fastjet ikijongea kwenye maegesho ya
ndege ya kiwanja cha ndege cha Mwanza baada ya kutua. Urefushaji wa barabara ya
kutua na kuruka ndege unaofanywa na BCEG ya China unaendelea vizuri ambao
tayari mkandarasi ameanza kuweka tabaka la kokoto.
Mafundi wa
Kampuni ya Beijing Construction and Engineering Group (BCEG) wakiendelea na
ujenzi wa kuta za vyumba vya jengo la kuongozea ndege katika kiwanja cha ndege
cha Mwanza.

Jengo la
kuongozea ndege katika kiwanja cha ndege cha Mwanza kama linavyoonekana
likiendelea kujengwa katika moja ya vilima jirani na kiwanja hicho.

Nguzo
utakapojengwa mtambo wa kufua umeme katika kiwanja cha ndege cha Mwanza
zikiendelea kujengwa na mkandarasi, BCEG ya China.

Ujenzi wa
ghala la mizigo la kiwanja cha ndege cha Mwanza ukiwa katika hatua za awali.
Aliyesimama ni Mhandisi Abdallah Dhahiri wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege
Tanzania (TAA) anayesimamia ujenzi huo.

Meneja wa
kiwanja cha ndege cha Mwanza, Esther Madale.
No comments:
Post a Comment