Wanafunzi wanaokwenda kusoma
katika vyuo vikuu vya nchini China wakipokea hati za kusafiria kutoka kwa
Mkurugenzi wa Kampuni ya Universities Abroad Link, Tony Kabetha kwenye Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Jumla ya wanafunzi 18 walikwenda China kwa ajili ya masomo ya Udaktari,
Uhandisi pamoja na Mafuta na Gesi. (Picha na Francis Dande)
Mkuu Tony unafanya kweli wengi wameishi nje wametuletea picha za Ikulu "white House" wewe unatuonyesha njia towards our dreams. Ubarikiwe ,UAL
ReplyDeleteGreetings! Very helpful advice within this post! It is the little changes that produce the
ReplyDeletemost important changes. Thanks a lot for sharing!
Here is my web page ... vuelos a guangzhou