November 17, 2014

WANAWAKE WA INDIA WATEMBELEA VIKUNDI VYA WANAWAKE WAJASIRIAMALI MKURANGA

Mwakilishi wa Wanachama wa Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA), Labhu Thakkar akizungumza katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kuranga wakati walipotembelea vikundi vya wajasiriamali vilivyopo wilayani hapo. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Mercy Sila na mlezi wa Kikundi cha Kiwalani Women Group ambaye pia ni mke wa mbunge wa Mkuranga, Naima Malima.
 Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Mercy Sila akizungumza na  Wanachama wa Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA) walipotembelea vikundi vya wajasiriamali vilivyopo Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani, pamoja na kutembelea Zahanati ya kijiji cha Msufini Kidete. Kushoto ni mlezi wa Kikundi cha Kiwalani Women Group ambaye pia ni mke wa mbunge wa Mkuranga, Naima Malima.
 Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Mercy Sila akipokea zawadi kutoka kwa Mwakilishi wa Wanachama wa Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA), Labhu Thakkar walipotembelea vikundi vya wajasiriamali vilivyopo Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani, pamoja na kutembelea Zahanati ya kijiji cha Msufini Kidete. 
 Mkutano ukiendelea kabla ya wageni kutoka Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA) kutembelea Zahanati ya Kijiji cha Msufini Kidete iliyopo Mkuranga Mkoa wa Pwani.
Wachama wa Ushirika Sewa wakiwa katika mkutano na uongozi wa Kijiji cha Msufini Kidete Mkuranga Mkoa wa Pwani.
 Mtendaji wa Kijiji cha Msufini Kidete, Seleman Kayombo akitoa taarifa fupi za utendaji wa kijiji hicho kwa wageni waliofika kutoka Ushirika wa Wanawake waliojiajiri wenyewe kutoka India (SEWA) walipotembelea Zahanati ya Kijiji hicho.
 Mkurugenzi wa Mradi wa Sankalit Sewa, Shree Kant Kumar akizungumza wanakijiji wa Msufini Kidete wakati Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA) walipotembelea miradi ya maendeleo ikiwemo afya.
 Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Msufini Kidete wakiwasikiliza wageni waliofika kijijini hapo kutoka katika Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA), walipotembelea Zahanati ya kijiji cha Msufini Kidete Mkuranga. 
 Zahanati ya Kijiji cha Msufini Kidete.
 Huduma za afya zikiendelea katika Zahanati ya kijiji.
 Baadhi ya wagonjwa wakisubiri huduma za matibabu katika Zahanati ya kijiji cha Msufini Kidete Mkuranga. 
 Muuguzi wa zamu Walness Makere akizungumza na waandishi wa habari baada ya wanachama wa Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA), walipotembelea Zahanati ya kijiji cha Msufini Kidete Mkuranga. 
 Ujumbe wa wanachama wa Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA), wakitoka katika Zahanati ya kijiji cha Msufini Kidete walipofika kuangalia huduma za Afya.
Mlezi wa Kikundi cha Kiwalani Women Group ambaye pia ni Mke wa Mbunge wa Mkuranga, Naima Malima (kulia) akipokelewa na wanachama wa kikundi hicho wakati wanachama wa Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA), walipotembelea vikundi vya wajasiriamali wanawake vilivyopo Mkuranga Mkoa wa Pwani. 
Mikeka na vikapu.
 Bidhaa zinazozalishwa na wajasiriamali wa Kikundi cha Kiwalani Woman Group.
 Wanachama wa Kikundi cha Kiwalani Women Group cha Mkuranga wakiwakaribisha wageni.
 Wanachama wa Usharika wa Kikundi cha Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA) wakiwasili katika ofisi za Kikundi cha Kiwalani Women Group wakati walipotembelea wajasiriamali wa Mkuranga na kubadilishana uzoefu.
Uyoga uliokaushwa.
 Uyoga Mkavu.
Mkurugenzi wa Mradi wa Sankalit Sewa, Shree Kant Kumar akizungumza Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA) ulipotembelea kikundi vikundi vya wajasiriamali wanawake vilivyopo Mkuranga.
 Mwenyekiti Mtendaji wa Kiwalani Women Group akizungumza wakati ujumbe wa Wanachama wa Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA) ulipotembelea kikundi hicho kwa ajili ya kujifunza shughuli zinazofanywa na wanawake wajasiriamali wa kikundi hicho.
 Tuimbe kwa pamoja.
 Wanachama wa Usharika wa Sewa kutoka India wakiimba kwa pamoja na Wanawake wenzao wajasiriamali kutoka Kikundi cha Kiwalani Women Group.
 Wanachama wa Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA) wakiangalia bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na Wanawake Wajasiriamali wa Kikundi cha Kiwalani Women Group kilichopo Mkuranga.
 Wanachama wa Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA) wakiangalia bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na Wanawake Wajasiriamali wa Kikundi cha Kiwalani Women Group kilichopo Mkuranga.
Wanachama wa Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA) wakiangalia bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na Wanawake Wajasiriamali wa Kikundi cha Kiwalani kilichopo Mkuranga.
 Katibu Mkuu wa Chodawu, Said Wamba akizungumza na wanachama wa Kikundi cha Kiwalani Women Group wakati wanachama wa Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA) walipotembelea vikundi vya wajasiriamali vilivyopo Mkuranga Mkoa wa Pwani.
 Mwakilishi wa Sewa, Labhu Thakkar akimkabidhi Mwenyekiti Mtendaji wa Kikundi cha Kiwalani Women Group, Naima Malima. Kulia ni Katibu Mkuu wa Chodawu, Said Wamba.
Mwakilishi wa Sewa, Labhu Thakkar akimkabidhi zawadi mlezi wa Kikundi cha Kiwalani Women Group, Naima Malima. Kulia ni Katibu Mkuu wa Chodawu, Said Wamba. 
Mlezi wa Kikundi cha Kiwalani Women Group ambaye pia ni mke wa Mbunge wa Mkuranga, Naima Malima (wa pili kushoto) akizungumza na wanachama wa kikundi hicho wakati ujumbe wa wanachama wa Kikundi cha Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA) ulipotembelea kikundi hicho kwa lengo la kujifunza shughuli zinazofanywa na vikundi vya wanawake wajasiriamali vilivyopo Mkuranga Mkoa wa Pwani. Kushoto ni Mwakilishi wa Sewa, Labhu Thakkar, Mwenyekiti Mtendaji wa Kiwalani Women Group, Rehema Ngelekele na Katibu Mkuu wa Chodawu, Said Wamba. 
Mlezi wa Kikundi cha Kiwalani Women Group ambaye pia ni Mke wa Mbunge wa Mkuranga, Naima Malima (wa pili kushoto) akimkabidhi zawadi, Mwakilishi Kikundi cha Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA), Labhu Thakkar baada ya kufanya ziara ya kujifunza katika vikundi vya ujasiriamali vya wanawake vilivyopo Mkuranga Mkoa wa Pwani. Kulia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Kikundi hicho, Rehema Ngelekele. 
 Zawadi mbalimbali zikitolewa.
 Wanachama wa VIMO SEWA wakicheza nyimbo mbalimbali zilizokuwa zikiimbwa na wenyeji wao.
 Baadhi ya Wanachama wa VIMO SEWA kutoka India wakipiga picha za kumbukumbu na mlezi wa Kikundi cha Kiwalani Women Group ambaye pia ni mke wa mbunge wa Mkuranga, Naima Malima (wa pili kushoto).
 Wanachama wa Kikundi cha Kiwalani Women Group wakiwa katika picha ya pamoja na wageni wao kutoka kikundi cha SEWA kutoka India.
Mwakilishi wa Kikundi cha Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA), Labhu Thakkar (kulia) akiangalia vikapu vilivyotengenezwa na Kikundi cha Wanawake Wajasiriamali wa Mkuranga Mkoa wa Pwani wakati walipofanya ziara ya kujifunza kutoka katika vikundi vya ujasiriamali vya wanawake vilivyopo Mkuranga. Kushoto ni Mwenyekiti Mtendaji wa Kikundi hicho, Rehema Ngelekele.
Wazee wa Mkuranga wakiwa katika picha ya pamoja.
 Mwakilishi wa Kikundi cha Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA), Labhu Thakkar (kulia) akiangalia vikapu vilivyotengenezwa na Kikundi cha Wanawake Wajasiriamali wa Mkuranga Mkoa wa Pwani wakati walipofanya ziara ya kujifunza kutoka katika vikundi vya ujasiriamali vya wanawake vilivyopo Mkuranga. Kushoto ni Mwenyekiti Mtendaji wa Kikundi hicho, Rehema Ngelekele.
 Batiki zikiwavutia wageni.
Mkurugenzi wa Mradi wa Sankalit Sewa, Shree Kant Kumar kutoka India akizungumza na mlezi wa Kikundi cha Kiwalani Women Group, Naima Malima.

No comments:

Post a Comment

Pages