Mshambuliaji wa Yanga, Andrew Coutinho akiwa amepiga magoti huku akiwa amezungukwa na wachezaji wenzake wakishangilia baada ya kumalizika kwa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Sokoine. Yanga ilishinda mabao 3-0.
Wachezaji wa Yanga wakiongozwa na Saimon Msuva wakishangilia moja ya goli wakati wa mchezo wa Ligi Kuu baina ya wenyeji wao Tanzania Prisons uliofanyika leo katika uwanja Kumbukumbu ya Sokoine jiji Mbeya.
Mshambuliaji wa Yanga, Andrew
Coutinho (kulia) akimtoka beki wa Tanzania Prison, Salum
Kimenya katika mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye
Uwanja Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya. (Picha na Kenneth Ngelesi)
No comments:
Post a Comment