February 03, 2015

ZIARA YA RAIS WA UJERUMANI KATIKA PICHA

 Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck akimkabidhia zawadi Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri tanzania (KKKT), Usharika wa Azania Front, Dk. Alex Malasusa alipotembelea kanisa hilo la kihistoria lililojengwa miaka 150 iliyopita. Kushoto ni Askofu Mkuu wa kanisa hilo, Dk. Alex Malasusa. 
 Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck akizungumza na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Azania Front jijini Dar es Salaam, alipotembelea kanisa hilo la kihistoria lililojengwa miaka 150 iliyopita. Kushoto ni Askofu Mkuu wa kanisa hilo, Dk. Alex Malasusa. 
Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck akizungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Azania Front, Dk. Alex Malasusa alipotembelea kanisa hilo la kihistoria lililojengwa miaka 150 iliyopita. 

Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck akiwa katika picha ya pamoja na waumini wa kanisa la KKKT. Kushoto ni Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Dk. Alex Malasusa na mama Anna Mkapa.
Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck akibadilishana mawazo na Rais wa Askofu Mkuu wa Kanisa la KKKT, Dk. Alex Malasusa.
Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck akibadilishana mawazo na Askofu Mkuu wa Kanisa la KKKT, Dk. Alex Malasusa.
  Mke wa Rais wa Ujerumani, Daniela Schadt na mama Salma Kikwete wakiwaaga wagonjwa wa fistula baada ya kupata taarifa za wagonjwa wa fistula katika hospitali ya CCBRT jijini Dar es Salaam. 
 Mke wa Rais wa Ujerumani, Daniela Schadt (wa pili kushoto) akiwa na mama Salma Kikwete wakimjulia hali, mtoto Juma Gambaresi (miezi 6), anayesubiri kufanyiwa operesheni ya miguu katika hospitali ya CCBRT jijini Dar es Salaam. Wa pili kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa hospitali hiyo, Erwin Telemans na kushoto ni Daktari Bingwa wa Viungo, Dk. Edward Charles. 
 Mke wa Rais wa Ujerumani, Daniela Schadt (wa pili kulia) akiwa na mama Salma Kikwete wakiangalia macho bandia yanayotengenezwa katika hospitali ya CCBRT.Wa tatu kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa hospitali hiyo, Erwin Telemans na kushoto ni Dk. Rehema Semindu ambaye ni mtaalam pekee hapa Tanzania wa kutengeneza macho bandia.  
Macho Bandia yanayotengenezwa katika hospitali ya CCBRT.
 Wataalum wakitengeneza viungo bandia katika hospitali ya CCBRT.
  Mke wa Rais wa Ujerumani, Daniela Schadt (wa pili kushoto) akiwa na mama Salma Kikwete wakimjulia hali, mtoto Juma Gambaresi (miezi 6), anayesubiri kufanyiwa operesheni ya miguu katika hospitali ya CCBRT jijini Dar es Salaam. Wa pili kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa hospitali hiyo, Erwin Telemans na kushoto ni Daktari Bingwa wa Viungo, Dk. Edward Charles. 
Mke wa Rais wa Ujerumani, Daniela Schadt (kushoto) akiwa na mama Salma Kikwete wakiwasili kwenye hospitali ya CCBRT jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages