March 13, 2015

MAKAMU WA RAIS DK. BILAL AWASILI SHARM EL SHEIKH KUHUDHURIA MKUTANO WA KIMATAIFA KUHUSU MAENDELEO NA UCHUMI NCHINI MISRI.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na mwenyeji wake, Waziri Mkuu wa Misri, Ebrahim Mehlep, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa ndege wa Sharm El- Sheikh, jana kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Kimataifa kuhusu maendeleo na Uchumi wa nchini Misri.

No comments:

Post a Comment

Pages