Ofisa Mtendaji
Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi akifafanua jambo
wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu
mkutano wa mabenki ya Akiba Afrika utakaofanyika kuanzia kesho jijini Dar es
Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Sheria wa benki hiyo, Mystika Ngongi (Picha na Francis Dande)

No comments:
Post a Comment