Baba mzazi wa Simon Msuva, Mzee
Happygod Msuva (katikati) akiinua tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu (VPL
2014-2015) kwa niaba ya mwanawe. Kulia ni Mama Msuva, Susan Happygod na kushoto
mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia.
Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam juzi. (Na Mpiga Picha Wetu)


No comments:
Post a Comment