Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini, IGP. Ernest Mangu, akizungumza na waandishi
wa habari katika Kituo cha Polisi Stakishari Ukonga jijini Dar es Salaam
kilichovamiwa na majambazi na kusababisha vifo vya Polisi wanne, raia
mmoja na jambazi mmoja. Kushoto ni Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,
Alhaji. Suleiman Kova.
Pikipiki iliyotumiwa na majambazi kuvamia kituo hicho
Ulinzi ukiwa umehimarishwa kuzunguka eneo la kituo cha Polisi Stakishari kilichpo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP. Ernest Mangu (kulia), akitoka
ndani ya Kituo cha Polisi Stakishari, Ukonga jijini Dar es Salaam jana kuangalia
madhala yaliofanywa na majambazi waliovamia kituo hicho na kusababisha
vifo vya Polisi wanne, raia mmoja na jambazi mmoja.
No comments:
Post a Comment