ALIYEKUWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI LAURENCE MASHA AKOSA DHAMANA AENDA MAHABUSU YA GEREZA LA SEGEREA
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Laurence Masha,
akishuka kwenye gari la polisi kwenye viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu jijini Dar es Salaam, wakati alipofikishwa mahakamani hapo kwa tuhuma
za kufanya vurugu kwenye kituo cha polisi Oysterbay juzi. (Picha na Said Powa)
No comments:
Post a Comment