Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk.Charles Kimei akimkaribisha Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Hawa Ghasia katika semina iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa ajili ya watendaji wa Halmashauri za Kanda ya Kati, iliyofanyika mkoani Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Dadoma, Rehema Omari Hamisi. (Picha na Francis Dande)
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Dodoma, Rehema Omari Hamisi akimkaribisha Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Hawa Ghasia katika semina iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa ajili ya watendaji wa Halmashauri za Kanda ya Kati, iliyofanyika mkoani Dodoma. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk.Charles Kimei.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akiongozana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Hawa Ghasia ambaye alikuwa mgeni rasmi katika semina iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa ajili ya watendaji wa Halmashauri za Kanda ya Kati , iliyofanyika mkoani Dodoma.
Baadhi ya Watendaji wa Halmashauri za Kanda ya Kati wakiwa katika semina iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa ajili ya watendaji wa Halmashauri za Kanda ya Kati , iliyofanyika mkoani Dodoma.Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Hawa Ghasia.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Hawa Ghasia (kulia meza ya mbele) akiwa katika semina iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa ajili ya watendaji wa Halmashauri za Kanda ya Kati, iliyofanyika mkoani Dodoma.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza katika semina iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa ajili ya watendaji wa Halmashauri za Kanda ya Kati, iliyofanyika mkoani Dodoma.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza katika semina iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa ajili ya watendaji wa Halmashauri za Kanda ya Kati, iliyofanyika mkoani Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu wa TAMISEMI, Dk. Deo Mtasiwa akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rami katika semina iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa ajili ya watendaji wa Halmashauri za Kanda ya Kati, iliyofanyika mkoani Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Hawa Ghasia ambaye alikuwa mgeni rasmi katika semina iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa ajili ya watendaji wa Halmashauri za Kanda ya Kati , iliyofanyika mkoani Dodoma akizungumza katika semina hiyo.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB wakifuatilia mada katika semina iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa ajili ya watendaji wa Halmashauri za Kanda ya Kati, iliyofanyika mkoani Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Hawa Ghasia akipongezwa na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei baada ya kufungua semina ya Watendaji wa Halmashauri za Kanda ya Kati iliyoandaliwa na Benki ya CRDB na kufanyika mjini Dodoma.
Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa Benki ya CRDB, Philip Alfred akitoa mada katika semina hiyo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Hawa Ghasia akipongezwa na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei baada ya kufungua semina ya Watendaji wa Halmashauri za Kanda ya Kati iliyoandaliwa na Benki ya CRDB na kufanyika mjini Dodoma.
Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa Benki ya CRDB, Philip Alfred akitoa mada katika semina hiyo.
No comments:
Post a Comment