August 10, 2015

LOWASSA ASIMAMISHA DAR AKIENDA KUCHUKUA FOMU YA URAIS TUME YA UCHAGUZI

 Mgombea wa Urais wa Ukawa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wanachama na mashabiki wa Ukawa wakati akielekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua Fomu ya kugombea urais.
 Lowassa akiwasalimia wanachama wa Ukawa pamoja na wafyasi wa Ukawa waliojitokeza katika kumsindikiza tume ya taifa ya uchaguzi kuchuklua fomu ya urais.
 Msafara ukieletea Tume ya Uchaguzi.
Umati na watu ukishudia.
Maandalizi ya kuelekea tume ya uchaguzi.
 Mafundi wakiwa wameacha kazi za ujenzi na kushuhudia msafara wa Lowassa wakati ukielekea tume ya taifa ya uchaguzi kuchukua fomu ya urais.
 Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi akiwapungia mkono maelfu ya watu waliojitokeza barabarani wakati wakielekea tume ya taifa ya uchaguzi.
 Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu wakitoa salamu kwa wanachama wa Ukawa.
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu wakitoa salamu kwa wanachama wa Ukawa.
Baadhi ya abiria waliokuwa wakisafiri katika daladala wakishuhudia msafara wa Lowassa.
Wengine walilazimikakupanda juu ya majengo marefu ilikuona msafara wa Lowassa.
Baadhi ya wenye maduka pia walifunga maduka yao. piayalifungwa.
Baadhi ya watuhumiwa wenye makosa mbalimbali waliokuwa katika basi la Magereza wakionyesha ishara ya alama ya vidole viwili inayotumiwa na Chama cha Demokrasia ma Maendeleo (Chadema) wakati walipokutana na msafara wa mgombea urais wa Ukawa kupitia Chadema, Edward Lowassa katika barabara ya Bibi Titi Dar es Salaam. 
Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani wakiwa juu ya jengo la wizara hiyo wakishuhudia msafara wa mgombea wa urais wa Ukawa kupitia Chadema, Edward Lowassa ukiwasili katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi (NEC) jijini Dar es Salaam, kuchukua fomu ya kugombea urais.

No comments:

Post a Comment

Pages