September 24, 2015

WAZIRI CELINA KOMBANI AFARIKI DUNIA LEO

Aliyekuwa WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani amefariki Dunia leo nchini India, mwili wa marehemu unatarajiwa kuwasili nchini Tanzania siku ya Jumamosi kwa ajili ya mazishi. 

Kwa mujibu wa taarifa za awali kutoka katika vyanzo vyetu vya habari zimesema kuwa marehemu Celina Kombani amefariki nchini India wakati akipata matibabu. 

No comments:

Post a Comment

Pages