Watuhumiwa wa kesi ya kujihusisha
na rushwa ya Shilingi Milioni 50 kutoka Kampuni ya Glenn Glarke, Edward Magobela (mbele) ambaye ni mfanyakazi wa Kampuni ya
Udalali ya Yono Auction Mart akiwa na mtumishi
wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Amani Mkwizu wakiingia katika Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
No comments:
Post a Comment