April 29, 2016

SSRA YASHIRIKI MAONESHO YA SIKU YA USALAMA NA AFYA MAHALA PA KAZI YANAYOENDELEA MKOANI DODOMA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu Mh. Jenista Mhagama akimkabidhi Cheti cha Ushiriki Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Sarah Kibonde Msika wakati wa kilele cha Maonesho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala pa kazi yanaondelea mkoani Dodoma.
Afisa wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Bw. Athuman Juma akitoa maelezo kwa wananchi , kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na Mamkala hiyo, wakati wa Maonesho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala pa kazi.
Mwakilishi kutoka mgodi wa North Mara, Fatuma Msumi alipotembelea banda la SSRA katika maonesho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala pa kazi mkoani Dodom.
Afisa Uhusiano na Uhamasiahaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bw. Ally Masaninga akifafanua jambo kwa moja wa wadau waliohudhuria Maonesho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi yanayofanyika mkoani Dodoma.
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Sarah Kibonde Msika, akikionesha cheti cha ushiriki wakati wa Maonyesho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala pa kazi, yanaondelea mkoani Dodoma.
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Sarah Kibonde Msika, akimkabidhi fulana mmoja wa wananchi waliotembelea banda la SSRA, wakati wa maonesho hayo. 
Baadhi ya wananchi waliotembelea banda la SSRA, wakipata maelezo kutoka kwa Afisa Uhusiano wa SSRA, Bw. Ally Masaninga  katika maonesho hayo.

No comments:

Post a Comment

Pages