Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NMB, James Meitaron (wa tatu kushoto) akikabidhi Muuguzi Mfawidhi wa Hospitali ya Sinza, Parestina, Bi. Agness Mgaya (kulia) baadhi ya seti za vifaa vya kujifungulia kwa wajawazito. Katikati akishukuru ni Kaimu Mganga Mkuu Hospitali ya Sinza, Dk. Kayola Chrispin. Jumla ya Seti 100 za vifaa hivyo zilitolewa na Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Biashara jijini Dar es salaam na kugawiwa kwa wahusika. |
No comments:
Post a Comment