HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 03, 2016

YANGA YAIFUNGA KAGERA SUGAR 3-1

 Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma (kulia) akishangilia na Simon Msuva goli la kwanza aliloifungia timu yake katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar. (Picha na Francis Dande)
Amissi Tambwe akishangilia goli la pili aliloifungia timu yake.
 Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma (kushoto) akichuana na beki wa Kagera Sugar, Shaban Ibrahim katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Yanga imeshinda 3-1.
 Mshambuliaji wa Yanga Deus Kaseke akiwatoka mabeki wa Kagera Sugar.
Geofrey Mwashiuya akimtoka, Salum Kanoni.
Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe (kushoto) akichuana na beki wa Kagera Sugar, Erick Kyaruzi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Pages