April 27, 2016

YANGA YAIFUNGA MGAMBO SHOOTING 2-1 NA KUJIKITA KILELENI MWA LIGI

 Kipa wa Mgambo Shooting, Said Khamis akiokoa moja ya hatari langoni mwake katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara lwenye Uwanja wa Taifa. Yanga imeshinda 2-1. (Picha na Francis Dande)
Beki wa Mgambo Shooting, Salum Mlima akichuana na Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao la kusawazisha.
Mshambuiaji wa Yanga, Amissi Tambwe akiwania mpira.
 Kikosi cha Mgambo.
 Kikosi cha Yanga.
Mahabiki wa Yanga wakishangilia timu yao.

No comments:

Post a Comment

Pages