May 24, 2016

BENKI YA CRDB YAADHIMISHA KILELE CHA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 20

Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa Benki ya CRDB, Willy Kamwela akimkaribisha Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Saugata Bandyopadhyay (kulia) wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 20 ya benki ya CRDB iliyofanyika jijini Arusha.  
 Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Saugata Bandyopadhyay akiwa na mkewe.
Baadhi ya maofisa wa benki ya CRDB wakiwa tayari kupokea wageni.
Baadhi ya Maofisa wa Benki ya CRDB wkiwa katika picha ya pamoja.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Martin Mmari (kulia) akisalimiana na Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye ambaye pia ni mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa benki hiyo.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Martin Mmari akisalimia na mke wa Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, mama Ester Sumaye.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Saugata Bandyopadhyay (kulia) akisalimia na Waziri Mkuu mstaafu na mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa benki hiyo, Fredrick Sumaye.
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay (wa pili kulia) akimsikiliza Waziri Mkuu mstaafu, Fredereck Sumaye.

Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (kushoto) akiwa na baadhi ya wasanii wa Orijino Komedi wakati wa kilele cha maadhimisho ya sherehe za miaka 20 ya benki hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha.

Baadhi ya wasanii wa Orijino Komedi.

wakurugenzi wa Benki ya CRDB wakiwa na wageni waalikwa.
 Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Philip Mpango akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, 
Baadhi ya wageni na wanahisa. 
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja Tully Mwambapa akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Dk. Charles Kimei kuzungumzia mafanikio ya benki hiyo katika kipindi cha mika 20.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akielezea mafanikio ya benki hiyo wakati wa kilele cha maadhimisho ya sherehe ya miaka 20.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Martin Mmari akizungumza katika hafla hiyo.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Arusha, Felix Ntibenda akimkaribisha mgeni rasmi Waziri wa Fedha na Mipango, Philip Mpango.
Waziri wa Fedha naMipango, Dk. Philip Mpango akizungumza katika maadhimisho ya kilele cha miaka 20 ya Benki ya CRDB iliyokwenda sambamba na Mkutano Mkuu wa Wanahisa uliofanyika katika ukumbi wa AICC Arusha.
Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Philip Mpango (kulia), akimkabidhi tuzo ya uongozi uliotukuka Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Martin Mmari wakati wa mkutano mkuu wa wanahisa wa benki hiyo uliofanyika katika ukumbi wa AICC jijini Arusha mwishoni mwa wiki. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Dk. Charles Kimei. 
Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Philip Mpango akimkabidhi tuzo ya uongozi uliotukuka Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye (kushoto), ambaye ni mwanahisa na mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB wakati wa mkutano mkuu wa wanahisa wa benki hiyo uliofanyika katika ukumbi wa AICC jijini Arusha mwishoni mwa wiki. 
Waziri wa Fedha Uchumi na Mipango Philip Mpango (wa pili kulia) akimkabidhi hundi ya msaada Sebronia Minja ambaye ni mwanahisa wa benki ya CRDB, kama sehemu ya maadhimisho ya kilele cha sherehe za miaka 20 ya benki hiyo. Hafla hiyo ilifanyika jijini Arusha mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Martin Mmari.
Orijino Komedi wakifanya vitu vyao.
Orijino Komedi wakionyesha manjonjo yao.
Muziki.
Muziki ukiendelea.
Wakurugenzi na wageni waalikwa wakisaka muziki.
Muziki ukiendelea.

No comments:

Post a Comment

Pages