May 09, 2016

KIKAO CHA BARAZA KUU LA WAFANYAKAZI NHC CHAFANYIKA DAR

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline Mabula akifungua Kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la taifa (NHC), jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Kushoto kwa Waziri ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemiah Mchechu.  
 Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula akifungua Kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la taifa (NHC), jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Kushoto kwa Waziri ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemiah Mchechu na Kushoto ni Katibu wa Baraza la Wafanyakazi wa TAMICO tawi la  NHC.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula akifungua Kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la taifa (NHC), jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Kushoto kwa Waziri ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemiah Mchechu. 
Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemiah Mchechu akizungumza katika kikao hicho.
Mshikamamo.
Picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Pages