May 20, 2016

MATUKIO MBALIMBALI BUNGENI DODOMA

 Naibu Waziri wa Tamisemi, Seleman Jaffo akijadiliana jambo na Mbunge wa Busokelo, Atupele Mwakibete kwenye viwanja vya Bunge, mjni Dodoma. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Waziri Mkuu akijibu maswali ya wabunge , bungeni mjini Dodoma
 wabunge wakijadiliana jambo bungeni
 Wageni wakifuatia mwenendo wa Bunge.
 Spika wa Bunge akitoa pole kwa familia za waumini waliouwa msikiti jijini Mwanza na watu wasiojulikana waliokuwa wamevalia kininja
 Waziri Mkuu, Majaliwa kaizungumza na mmoja wa wabunge
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akiwasilisha hotuba ya makadirio ya Bajeti ya wizara hiyo.
 Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini, Ali Keisy akichangia majadiliano ya makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini, bungeni Dodoma , ambapo aliutwatuhumu wapinzania wanaomsema vibaya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.
 Mbunge wa Ulanga, Goodluck Ulanga  (kulia), akizungumza na Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo kwenye viwanja vya Bunge Dodoma.
 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akiwa na wanafunzi waliotembelea Bunge.
 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete akichangia hoja wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini
Mbunge wa Mvomero, Sadick Murad akichangia hoja bungeni.

No comments:

Post a Comment

Pages