May 26, 2016

MISS TANZANIA USA AEESHA KAMARA ATEMBELEA HIGHLAND NURSERY SCHOOL, TABATA, JIJINI DAR


Miss Tanzania USA Pageant Aeesha Kamara akigawa penseli, vikiwemo vitabu, mabegi ya kubebea vitabu na vitu vingine mahitaji ya shule hiyo ya vidudu ya Highland Nursery school iliyopo Tabata jijini Dar es Salaam. Vitu hivyo vilitolewa msaada na wadau kutoka Washington, DC.
Miss Tanzania USA Pageant, Aeesha Kamara akigawa mabegi ya kubebea vitabu kwa watoto wa Highland Nursery School ya Tabata jijini Dar es Salaam,
Miss Tanzania USA Pageant akiongea na watoto hao wa shule ya Highland Nursery School ya Tabata jijini Dar es Salaam.
Miss Tanzania USA Pageant Aeesha Kamara akiwa katika picha ya pamoja na watoto wa Highalnd Nursery school wakiwemo walimu wao.
 Watoto wakimsikiliza Miss Tanzania USA Pageant Aeesha Kamara (hayupo pichani) alipokua akiongea nao.
Watoto wakitega sikio kwa makini kumsikiliza Miss Tanzania USA Pageant Aeesha Kamara (hayupo pichani) alipokua akiongea nao,

No comments:

Post a Comment

Pages