May 02, 2016

RAIS DK JOHN MAGUFULI ATEMBELEA BANDA LA SSRA KATIKA MAONESHO YA MEI MOSI YALIYOFANYIKA DODOMA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka, akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli wakati alipotembelea banda la mamlaka hiyo, katika maonesho ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day), viwanja vya Jamhuri Mjini Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka, akimpatia maelezo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli wakati alipotembelea banda la mamlaka hiyo, katika maonesho ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day), viwanja vya Jamhuri Mjini Dodoma jana. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, akimsalimia Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde, wakati alipotembelea banda la mamlaka hiyo, katika maonesho ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day), viwanja vya Jamhuri Mjini Dodoma jana. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, akiwasalimia baadhi ya Maofisa wa Mamlaka hiyo, alipotembelea banda la mamlaka hiyo, katika maonesho ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day), viwanja vya Jamhuri Mjini Dodoma jana.   
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli (wa pili kulia), akipatiwa maelezo na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka, alipotembelea kwenye banda la SSRA, katika maonesho hayo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka (kulia), akimpatia melezo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli (hayupo pichani), wakati alipotembelea kwenye banda la mamlaka hiyo, mjini Dodoma jana.  
Baadhi ya wafanyakazi wa SSRA, wakiwa katika maandamano ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day), viwanja vya Jamhuri Mjini Dodoma jana.    
Wafanyakazi wa SSRA, wakiwa katika maandamano ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day), viwanja vya Jamhuri Mjini Dodoma jana. 

No comments:

Post a Comment

Pages