May 06, 2016

SAFARI ZA NDEGE ZA MOJA KWA MOJA KUTOKA DAR-MAURITIUS ZAZINDULIWA

Mwenyekiti wa Shirika la Ndege la Mauritius, Arjoon Suddhoo akizungumza katika uzinduzi wa uzinduzi wa safari za ndege kutoka Dar es Salaam hadi Mauritius, hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasilino, Prof. Faustin Kamuzora akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa safari za ndege za moja kwa moja kutoka Dar es Salaam hadi Mauritius.
Wageni wakiwa katika uzinduzi huo.
Wadau wakifuatilia uzinduzi huo.
Wageni waalikwa.
Mwenyekiti wa Shirika la Ndege la Mauritius, Arjoon Suddhoo (kushoto) akimkabidhi zawadi mfano wa melikebu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Faustin Kamuzora katika uzinduzi wa safari za ndege kutoka Dar es Salaam hadi Mauritius, hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Shirika la Ndege la Mauritius, Arjoon Suddhoo (kushoto) akimkabidhi zawadi ya mfano wa ndege Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Faustin Kamuzora katika uzinduzi wa safari za ndege za moja kwa moja kutoka Dar es Salaam hadi Mauritius, hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages