May 10, 2016

WARSHA YA KUPATA MREJESHO WA RASIMU YA KWANZA YA MPANGO WA UJUMLA WA KUSIMAMIA HIFADHI YA TAIFA YA KATAVI YAFANYIKA MKOANI KATAVI

Mkuu wa Mkoa wa Katavi ,Meja Jenerali Mstaafu, Raphael Muhuga akitoa hotuba wakati wa ufunguzi wa Warsha ya kupata mrejesho wa rasimu ya kwanza ya mpango wa ujumla wa usimamizi wa Hifadhi ya Taifa ya Katavi.
Baadhi ya washiriki wa Warsha hiyo wakiwemo Wahifadhi,Kamati za ulinzi na usalama,maofisa watendaji na wenyeviti wa vijiji.
Mkuu wa Wilaya ya Mlele inayopakana na Hifadhi ya Taifa ya Katavi,Kanali Mstaafu Issa Njiku akizungumza wakati wa warsha hiyo ya siku moja.
Baadhi ya Washiriki wa warsha hiyo.
Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Paza Mwamlima akizungumza katika Warsha hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza wakati warsha ya  kupata mrejesho wa rasimu ya kwanza ya mpango wa ujumla wa usimamizi wa Hifadhi ya Taifa ya Katavi.
Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete akifuatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa katika warsha hiyo.
Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Katavi John Gara akiwasilisha mada wakati wa Warsha hiyo.
Baadhi ya watendaji wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kutoka makao makuu wakifuatilia  michango ya wachangiaji mada katika warsha hiyo.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini aliyekua mkoani Katavi.

No comments:

Post a Comment

Pages