May 28, 2016

WAZIRI MUHONGO ATEMBELEA VISIMA VYA MAFUTA

Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo akimsikiliza  Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya mafuta ya ORXY, Godfrey Fernandes wakati waziri huyo alipokuwa katika ziara ya kutembelea visima vya mafuta mbalimbali jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages