BENKI YA CRDB YATOA SEMINA KWA MAWAKALA WA FAHARI HUDUMA MKOANI MBEYA
Meneja wa CRDB tawi la Mwanjelwa jijini Mbeya, Ephraim
Lwilla akifafanua jambo kwenye Semina ya siku moja ya Mafunzo ya Huduma kwa
wateja yaliyotolewa kawa Mawakala wa Fahari Huduma mkoani Mbeya juzi. (Na
Mpigapicha Wetu)
No comments:
Post a Comment