Mkurungenzi wa Kampuni mama ya Sustainable Solutions
Consultancy (SSC), Salum Awadhi (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari
(hawapo pichani) juzi wakati wa uzinduzi wa kampuni ya huduma ya kifedha ya
Islamic Finance inayoitwa Murabaha inayotoa mikopo bila riba kwa wajasiriamali
wadogo wadogo.
No comments:
Post a Comment