Katibu Mtendaji wa Baraza la Tanzania Beng'i Issa akisalimiana na mmoja wa Wanawake wajasiriamali walionufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), alipokagua bidhaa zao wakati wa mahafali, yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo. Wajasiriamali 510 walihitimu baada ya kuhudhuria mafunzo, yaliyoandaliwa na asasi ya Tanzania Gastby Trust (TGT). Kushoto ni Mwenyekiti TGT, Epeineto Toroka na Afisa Mtendaji Mkuu wa Asasi hiyo, Olive Luena.
|
No comments:
Post a Comment