PIX0a: Waziri wa
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza
wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Idadi ya Watu duniani
iliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam leo.Maadhimisho
ya mwaka huu yamedhaminiwa na Shirika linaloshughulika na Idadi ya Watu Duniani
(UNFPA) ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni “Wezesha Msichana. Atimize ndoto
zake”
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango Dkt. Florence Mwanri akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Idadi ya Watu duniani iliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam leo. Maadhimisho ya mwaka huu yamedhaminiwa na Shirika linaloshughulika na Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni “Wezesha Msichana. Atimize ndoto zake”
Binti mwanafunzi wa Kidato cha Pili Shule ya Sekondari Jangwani Necta Richard akisoma taarifa fupi juu ya ziara ya wanafunzi wapatao 150 kutoka Klabu za vijana wa Kiwohede, Restless Develeopment ambao walifanya ziara kutembelea Taasisi za Chuo Kikuu cha Mlimani (UDSM), Muhimbili, na ITV kwa lengo la kujifunza. Ziara hiyoimefanyika kwa Msaada wa UNFPA.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akisalimiana na Mwakilishui Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) Dkt. Natalia Kanem wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Idadi ya Watu duniani iliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam leo.Maadhimisho ya mwaka huu yamedhaminiwa na Shirika linaloshughulika na Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni “Wezesha Msichana. Atimize ndoto zake”
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akifuatilia kwa makini maelezo kuhusu Takwimu za Idadi ya wasichana wanaopata mimba za utotoni kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa (mwenye nguo nyekundu) wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Idadi ya Watu duniani iliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam leo. Maadhimisho ya mwaka huu yamedhaminiwa na Shirika linaloshughulika na Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni “Wezesha Msichana. Atimize ndoto zake".
PIX3a: Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) Dkt. Natalia Kanem wakionyesha bango lenye ujumbe mahususi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Idadi ya Watu duniani iliyofanyika kitaifa leo Jijini Dar es Salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yamedhaminiwa na Shirika linaloshughulika na Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni
Kikundi cha Vijana Kiwohede kikitumbuiza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Idadi ya Watu Duniani leo Jijini Dar es Salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yamedhaminiwa na Shirika linaloshughulika na Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni “Wezesha Msichana. Atimize ndoto zake”.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (mwenye kilemba katikati)akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wasichana kutoka shule mbalimbali wakati wa maadhimisho ya Kimataifa ya Siku ya Watu duniani leo Jijini Dar es Salaam. Picha na: Frank Shija, MAELEZO:

No comments:
Post a Comment