Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS ndugu Daudi Mbaga akitoa elimu kwa wananchi kwenye viwanja vya Nane Nane Arusha.
Bi Ashura Kassim wa UTT AMIS akiwasaidia wananchi wa mkoa wa Arusha kujiunga katika uwekezaji wa pamoja.
Mwekezaji mpya wa UTT AMIS, akifurahia kujiunga na Uwekezaji wa Pamoja katika Maonesho ya Nane Nane mjini Arusha.
Mwekezaji mpya wa UTT AMIS, akifurahia kujiunga na Uwekezaji wa Pamoja katika Maonesho ya Nane Nane mjini Arusha.
No comments:
Post a Comment