October 14, 2016

BENKI YA CRDB YAMKUMBUKA MSTAAFU WAKE

 Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa kushoto akifurahia na wafanyakazi wa CRDB mara baada ya kuzindua nyumba ya  mstaafu wa Benki hiyo,  Perpetua Horombo katikati mara baada ya kuifanyia marekebisho yaliyogharimu mil17 katika kutambua mchango wake kwa benki hiyo kwa kipindi cha miaka 36 alipokuwa akifanya kazi.
 Mfanyakazi mstaafu wa benki ya CRDB, Perpetua  Horombo  akimlisha keki Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa mara baada ya kuzindua nyumba yake iliyofanyiwa marekebisho na benki hiyo katika kutambua mchango wake kwa miaka 36 aliyofanya kazi hapo.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa kushoto na Mkurugenzi wa Benki hiyo tawi la Lumumba, Pendo Assey (kulia) wakiwa na familia ya Perpetua Horombo mara baada ya kuikabidhi nyumba yao waliyoifainyia marekebisho.
 Picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Pages