October 09, 2016

BENKI YA CRDB YATOA MSAADA KWA WENYE MAHITAJI KATIKA KUSHEHEKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

 Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Nyerere, Naomi Mwamfupe akimpa zawadi mtoto mwenye ulemavu wa ngozi wa Kituo cha Kwimba.
 Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Nyerere Naomi Mwamfupe akigawa zawadi kwa katika Kituo cha Walemavu Kwimba.
 Mkuu wa Wilaya ya Wilaya ya Gairo, Siriel Shaidi Mchemba akimtwisha ndoo ya maji mwananchi wa mjini Gairo baada ya kuzindua kisima kilichochimbwa na Benki ya CRDB.
  Watoto wa Kituo cha kulelea Watoto wenye ulemavu wa akili na viungo cha Kanisa Katoliki Kigango cha Iyunga wakiwa na zawadi mbalimbali walizokabidhiwa na Benki ya CRDB wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja Duniani.  
 Mkurugenzi wa Mikopo wa Benki ya CRDB tawi la Mbarali Mbeya, Anderson  Mlabwa (kulia) akizungumza, kuwashukuru wateja pamoja na kupokea maoni yao. 
 Watoto wa Kituo cha kulelea Watoto wenye ulemavu wa akili na viungo cha Kanisa Katoliki Kigango cha Iyunga wakiwa na zawadi mbalimbali walizokabidhiwa na Benki ya CRDB wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja Duniani.  
Maofisa wa Benki ya CRDB tawi la Bariadi wakiwa katika picha ya pamoja.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Bariadi wakifurahi na watoto wenye ulemavu, aliyembeba mtoto ni Meneja wa Benki ya CRDB Bariadi, Kishosha.

No comments:

Post a Comment

Pages