October 23, 2016

MFALME MOHAMED WA SITA WA MOROCCO AWASILI TANZANIA

Mfalme Mohammed wa Sita wa Morocco akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jioni ya leo Oktoba 23, 2016. PICHA NA IKULU.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki Mfalme Mohammed wa Sita wa Morocco kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jioni ya leo Oktoba 23, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha Mfalme Mohammed wa Sita wa Morocco kwa Makamu Wa Rais.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mfalme Mohammed wa Sita wa Morocco.
Mfalme Mohammed wa Sita wa Morocco akisalimiana na Waziri Mkuu wa Tanzania.
Mfalme Mohammed wa Sita wa Morocco akiangali vikundi vya ngoma.

No comments:

Post a Comment

Pages