1A8493 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma ya kikundi cha sana cha Chuo Kikuu cha Makumira cha Arusha baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ngaraseru - Usa River wilayani Arumeru kuhutubia mkutano wa hadhara Desemba 27, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Ngaraseru- Usa River wilayani Arumeru.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Ngara (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:
Post a Comment