Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya Mapinduzi Naodha wa Azam FC, John Bocco baada ya kuifunga Simba 1-0 katika mchezo wa Fainali ya michuano hiyo.
Wachezaji wa Azam FC wakishangilia na Kombe lao.
No comments:
Post a Comment