Kamanda Muroto akiingia ndani ya nyumba wanayoishi wana JKT katika Kambi yao ya Lugwadu.
Kamanda Muroto (wa tatu kushoto) na Makamanda wezake wakiwa katika nyumba wanayohishi wana JKT.
Mwenyekiti wa wana JKT,Palale Kiwango (kushoto) akizungumza na Makamanda eneo la shamba la Mahindi, Mbaazi na Karanga.
Wana JKT kazini.
Mwenyekiti wa wana JKT,Palale Kiwango (kushoto) akizungumza na Kamanda Muroto.
Mwenyekiti wa wana JKT,Palale Kiwango (kushoto) akizungumza na Makamanda waliowatembelea.
Kamanda Muroto na wezake wakikagua bustani ya mboga.
Wana JKT wakilima.
Kamanda Muroto akiwaangalia wana JKT katika shamba.
Kamanda Muroto (kushoto) na wenzake wakijadiliana jambo.
Wana JKT wakilima shamba lao.
Bwawa la maji yanayotumika kumwagilia kwenye bustani ya mboga.
Makamanda wakiangalia bwawa lenye maji yanayotumika kumwagilia katika bustani ya mboga.
Hiki ni choo wanachotumia wahitimu katika makazi yao.
Wahitimu wakishusha chakula kutoka ndani ya gari.
Sehemu ya chakula.
Wahitimu wa JKT wakiingiza chakula ndani ya nyumba yao.
Wahitimu wa JKT wakiingiza chakula ndani ya nyumba yao.
No comments:
Post a Comment