January 18, 2017

KINANA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA LEO

Katibu Mkuu wa CCM, Abdurahman Kinana akimkaribisha Balozi wa China hapa nchini, Dk. Lu Young, alipofika katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo. Kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinza
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa China hapa nchini Dk. Lu Young, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, leo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimtambulisha Katibu mpya wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinza, wakati wa mazungumzo yao, katika Ofisi Ndogo ya Makao makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Saalaam, leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO.

No comments:

Post a Comment

Pages