January 30, 2017

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR ATEMBELEA BANDARI YA PEMBA


 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali
Iddi (katikati), akiambatana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar Nd. Abdulla Juma kushoto kwake akikagua Bandari ya Mkoani inayokusudiwa kutoa huduma za Kimataifa.
Balozi Seif  kati kati akiwa pamoja na Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba wakiangalia mandhari ya Bandari ya Mkoani Kisiwani Pemba akimalizia ziara yake ya siku Tatu Kisiwani Pemba.
Balozi Seif  akitembezwa katika eneo linalotarajiwa kujengwa kwa ajili ya uwekwaji wa makontena pembezoni mwa Bandari ya Mkoani Kisiwani Pemba.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiambatana na Uongozi wa Hospitali ya Abdulla Mzee Mkoani kukagua shughuli za huduma za Afya zinazotolewa katika Hospiytali hiyo.
 Balozi Seif  akiagiza uwajibikaji uliobora kwa wafanyakazi wa Hospiali ya Abdulla Mzee alipokagua Kitengo cha X RAY.
Balozi Seif akionyesha kufarajika kwake na huduma za

uchunguzi wa Maabara zinazotolewa na Hospitali ya Abdulla Mzee wakati alipokagua kitengo cha Maabara Hospitalini hapo.


Daktari Mkuu wa Hospitali ya Abdulla Mzee Mkoani
Dr. Haji Mwita Haji akielezea changamoto wanazopambana nazo watendaji wa Hospitali hiyo wakati wanapotoa huduma za Afya kwa Wananchi. Picha na – OMPR – ZNZ.

No comments:

Post a Comment

Pages