Mbunge
wa Jimbo la Tanga (CUF), Mussa Mbaruku akimuelekeza namna ya kuitumia
Baiskeli ya kutembelea mkazi wa Mtaa wa Tongoni Jijini Tanga, Mwinchumu
Ally jana mara baada ya kumkabidhi ikiwa ni ahadi aliyemuahidi wakati wa
kampeni za uchaguzi mkuu mwaka juzi. Mbunge wa Jimbo la
Tanga(CUF) Mussa Mbaruku kulia akimkabidhi baiskeli mkazi wa Mtaa wa Tongoni Jijini Tanga,Mwinchumu Ally
jana ambaye anamatatizo ya ulemavu wa miguu kwa ajili ya kutembelea
ikiwa ni kutimiza ahada aliyomuahaidi wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu
mwaka. juzi. |
No comments:
Post a Comment