Kada wa CCM, James Mwakibinga akizungumza na waandishi wa habari wakati akimuomba radhi Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi kwa kumtuhumu kujimilikisha 'floor' nzima katika jengo la Umoja wa Vijana wa CCM na kuuza kinyemela viwanja 200 vya umoja huo. Tuhuma hizo alizitoa Agosti 16 2016. Kushoto ni Wakili wa Kampuni ya FK Law Chambers inayomtetea Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, Sylivatus Mayenga. (Picha na Francis Dande).
Wakili wa Kampuni ya FK Law Chambers inayomtetea Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, Sylivatus Mayenga akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupokea ombi la kuombwa radhi kwa mteja wake huyo kutoka kwa Kada wa CCM, James Mwakibinga (kushoto kwake).
No comments:
Post a Comment