January 19, 2017

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MAKAPA NA WAZIRI WA MAENDELEO WA DENMARK IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais John Magufuli akimkaribisha Rais mstaafu wa awamu 
ya Tatu, Benjamin Mkapa Ikulu jijini Dar es salaam jana. (Picha na Ikulu).
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsindikiza  Rais Mstaafu wa awamu 
ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa baada ya maongezi yao  ikulu jijini Dar es salaam leo.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu 
ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille Herman ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Januari 19, 2017 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzi na Waziri wa Maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille Herman  ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Januari 19, 2017  
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu  na Waziri wa Maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille Herman
na ujumbe wake pamoja na  Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango na Katibu Mkuu Wizara hiyo Mhe. Dotto James  Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Januari 19, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana  na Waziri wa Maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille Herman
 wakiwa pamoja na  Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango na Katibu Mkuu Wizara hiyo Mhe. Dotto James  Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Januari 19, 2017

No comments:

Post a Comment

Pages