Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wakazi wa Bukoba mjini mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili mkoani Kagera.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wakazi wa Muganza Wilayani Chato mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili mkoani Kagera.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wakazi wa Muleba mkoani Kagera mara
baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili mkoani humo. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment