January 22, 2017

SIMBA YAIFUATA YANGA KOMBE LA FA

 Kichuya akiwania mpira. 
Wachezaji wa Simba wakishangilia baada kuifunga Polisi Dar es Salaam.  

Mshambuliaji wa Simba Pastory Athanas (kushoto) akimtoka beki wa timu ya Polisi Dar es Salaam, Vicent Thadeo katika mchezo wa Kombe la Shirikisho uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 2-0.

No comments:

Post a Comment

Pages